
152 views
Wahitimu 27 wa ufundi waagwa kuelekea Dubai kupata ajira chini ya mpango wa serikali
Wahitimu ishirini na saba wa mafunzo ya kiufundi na ufundi stadi kutoka Kenya wameagwa kuelekea Dubai chini ya mpango wa serikali wa kazi majuu, ambapo watafanya kazi za ufundi bomba, ufungaji wa mifumo ya umeme, na ujenzi kote katika umoja wa falme za Kiarabu.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo