
299 views
Wanawake zaidi ya 100 Kajiado wafaulu mafunzo ya ufundi kuwawezesha kujitegemea
Wanawake zaidi ya 100 ambao ni waathiriwa wa dhuluma za kijinsia katika Kaunti ya Kajiado wamefuzu kwa ujuzi wa kazi za ufundi baada ya kupata mafunzo hayo kwa mwaka mmoja. Mafunzo hayo ambayo yametolewa na mashirika yasiyo ya kiserikali yanahusisha ushonaji wa nguo na bidhaa za ushanga, upishi, ususi na ulimbwende.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo