
102 views
Operesheni ya uokoaji Eastleigh yakamilika huku miili minane ikipatikana
Shughuli za uokoaji katika jengo lililoporomoka mtaani Eastleigh, Nairobi zimefikia kikomo baada ya siku 15, huku maafisa husika wakithibitisha kuwa mili minane ilipatikana huku watu wanne wakinusuriwa wakiwa hai kutoka vifusi vya jengo hilo. Kamishna wa kaunti ndogo ya Nairobi Kaskazini Simon Osumba, amesema uamuzi huo umefikiwa kufuatia kukamilika kwa upekuzi katika sehemu zote za jengo hilo la ghorofa 18 lililoporomoka. Hakuna mili mingine iliyopatikana katika siku ya mwisho ya operesheni hiyo. Watu watatu, ambao awali waliripotiwa kupotea, bado hawajapatikana licha ya upekuzi wa kina uliofanyika. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
- 2 petitioners seek to halt procurement of General Election technology
- Nyoro says live transmission of election results in 2027 is non-negotiable
- CoG questions MoH directive to remove M-Pesa Paybill numbers from county health facilities
- MoH, health stakeholders intensify Ovarian Cancer awareness efforts
- EACC calls for stronger stricter candidate vetting ahead of 2027 polls
- Government says oil exploitation will begin in December
- Two people killed in a gas cylinder explosion in Mombasa
- President Ruto launches Sh503 million Kimilili-Kapsokwony road in Bungoma