
48 views
Ole Lenku azindua chama cha FEDA, chasema kitalenga maendeleo ya kiuchumi
Gavana wa Kajiado, Joseph Ole Lenku, amezindua rasmi chama cha Forum for Economic Development Agenda (FEDA), katika uzinduzi uliofanyika kwa wakati mmoja katika kaunti za Kajiado, Narok na Marsabit. Akizungumza katika uzinduzi huo, Mbunge wa Kajiado Kusini, Samuel Sakimba, alitetea haki ya Gavana Lenku ya kuunda chama hicho, akipuuza wakosoaji wa kisiasa. Ole Lenku alisisitiza kuwa FEDA itawahudumia Wakenya wote, akitangaza kuwa maeneo yaliyotengwa hayatatumika tena kama vyombo vya biashara ya kisiasa.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo