
156 views
Kalonzo awataka wapiga kura Nyanza kuunga mkono azma yake ya kuendeleza maono ya Raila
Kinara wa chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka, amewarai wapiga kura wa eneo la Nyanza kukumbuka namna alivyomuunga mkono hayati Raila Odinga katika chaguzi tatu zilizopita, akisema kuwa ndiye atakayefanikisha maono ya Raila Odinga. Akizungumza katika ziara yake kaunti ya Homa Bay, Kalonzo pia amekashifu kushambuliwa kwa msafara wake mjini Migori siku ya Alhamisi, akidai kuwa waliohusika katika uvamizi huo ni wahuni waliolipwa na viongozi wa serikali. Viongozi wa upinzani pia wamekashifu vikali maafa yanayosababishwa na ukatili wa polisi.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo