
2,438 views
Wakazi wa kijiji cha Furunzi, Kilifi, wasifia hukumu ya Mackenzie
Wakazi wa kijiji cha Furunzi huko Malindi, kaunti ya Kilifi wamesifia hukumu ya miaka 200 jela iliyotolewa dhidi ya mhubiri tata paul Mackenzie, wakishabikiashoka la jaji Diana Kavedza Mochache. Wakazi hao wametaja hukumu hiyo kama haki kwa familia na waathiriwa wa mauaji ya halaiki shakahola. Na kama anavyoarifu sasa Francis Mtalaki, kanisa aliloanzisha Mackenzie la Good News International kijijini humo sasa limesalia mahame.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo