
642 views
Nassir atetea msimamo wa chama cha ODM kutaka kupewe nafasi ya naibu rais
Kufuatia kuongezeka kwa mijadala ya kisiasa kuhusu uwezekano wa kubuniwa kwa kundi la kufanikisha azma ya Rais William Ruto ya kuwania muhula wa pili wa uongozi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027, huku nafasi ya Naibu Rais ikiwa mojawapo ya masuala yanayoibua mjadala, Naibu Kiongozi wa Chama cha ODM Abdulswamad Nassir ametetea msimamo wa chama hicho kutaka kipewe nafasi hiyo. Nassir amesema ODM inastahili kupewa nafasi ya kumteua mgombea mwenza wa Rais William Ruto kutokana na idadi yake kubwa ya wafuasi, na mchango wake katika serikali jumuishi. Amepuuzilia mbali madai kwamba ODM inatumia shinikizo ili ipewe nafasi hiyo Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
- 2 petitioners seek to halt procurement of General Election technology
- Nyoro says live transmission of election results in 2027 is non-negotiable
- CoG questions MoH directive to remove M-Pesa Paybill numbers from county health facilities
- MoH, health stakeholders intensify Ovarian Cancer awareness efforts
- EACC calls for stronger stricter candidate vetting ahead of 2027 polls
- Government says oil exploitation will begin in December
- Two people killed in a gas cylinder explosion in Mombasa
- President Ruto launches Sh503 million Kimilili-Kapsokwony road in Bungoma