
2,659 views
Mariga na maafisa 6 wa baraza kuu la FKF watimuliwa
Naibu rais wa shirikisho la soka nchini MCDONALD MARIGA na maafisa wengine sita wa baraza kuu la shirikisho hilo wametimuliwa afisini. Hii ni kufuata mkutano maalum wa FKF ulifanyika huko Meru. Mkutano huo ukikumbwa na ghasia huku vuta nikuvute na vitoa machozi vikitawala kabla ya uamuzi kuafikiwa. Luqman Mahmoud amerejea kutoka meru na kuandaa taarifa hiyo.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo