
505 views
Magatuzini: Kaunti ya Mombasa yalenga kuwa kitovu kikuu cha utengenezaji kawi na AI
Kaunti ya Mombasa inalenga kujiweka kuwa kitovu kikuu cha kanda hii cha utengenezaji kawi na miundombinu ya Akili Ige-AI, kufuatia pendekezo la uwekezaji wa shilingi Bilioni-90 katika eneo la Dongo Kundu. Na wataalamu wa afya wameibua wasiwasi kuhusu matumizi yasiyofaa ya vidonge vya dharura vya kuzuia mimba aina ya P2, wakionya dhidi ya kuvitumia kama njia ya kawaida ya kupanga uzazi. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa kaunti. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
- 2 petitioners seek to halt procurement of General Election technology
- Nyoro says live transmission of election results in 2027 is non-negotiable
- CoG questions MoH directive to remove M-Pesa Paybill numbers from county health facilities
- MoH, health stakeholders intensify Ovarian Cancer awareness efforts
- EACC calls for stronger stricter candidate vetting ahead of 2027 polls
- Government says oil exploitation will begin in December
- Two people killed in a gas cylinder explosion in Mombasa
- President Ruto launches Sh503 million Kimilili-Kapsokwony road in Bungoma