
493 views
Gachagua: Vijana wasajiliwe kuwa wapigaji kura
SIASA ZA UPINZANI Kiongozi wa chama cha DCP, Rigathi Gachagua, awahimiza vijana kuwa na umoja na kuhakikisha wanasajiliwa kuwa wapigaji kura ili kupata mabadiliko katika uongozi wa nchi mwaka 2027. Akizungumza kupitia simu wakati wa uzinduzi wa tawi la vijana la chama cha DCP katika kaunti ya Nakuru, Gachagua aliwakumbusha vijana kuwa ushiriki wao katika michakato ya uchaguzi ni muhimu ili kuamua mustakabali wa kisiasa wa taifa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
- 2 petitioners seek to halt procurement of General Election technology
- Nyoro says live transmission of election results in 2027 is non-negotiable
- CoG questions MoH directive to remove M-Pesa Paybill numbers from county health facilities
- MoH, health stakeholders intensify Ovarian Cancer awareness efforts
- EACC calls for stronger stricter candidate vetting ahead of 2027 polls
- Government says oil exploitation will begin in December
- Two people killed in a gas cylinder explosion in Mombasa
- President Ruto launches Sh503 million Kimilili-Kapsokwony road in Bungoma