
2,300 views
Kundi la kina mama la Kewamoi waliotumbuiza katika sherehe za kitaifa wanakabiliwa na changamoto
Kwa zaidi ya miaka hamsini, walitunga nyimbo na kupamba sherehe za kitaifa. Kina mama la Kewamoi Dancers kutoka Baringo ambao sasa wamekuwa wakongwe bado wanaendelea kutunga simulizi za uzalendo na kutumbuiza umati katika sherehe mbalimbali, kwa matumaini ya kuvutia sikio la kiongozi wa taifa. Hata hivyo, kina mama hao wanataabika kutokana na changamoto za ukongwe huku wakiitaka serikali kuimarisha hadhi ya maisha yao. Laura Otieno anaangazia kundi hilo lililoshikilia utando wa uzalendo kwa miongo mitano.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo