
1,028 views
Ruto azuru Gusii, azindua miradi ya mabilioni na kuikosoa upinzani
Rais William Ruto ameanza ziara ya siku nne ya eneo la Gusii ambako ameendelea kunadi sera zake akilaumu upinzani kwa kukosa ajenda za maendeleo. Rais aliyezindua miradi ya mabilioni kaunti ya Nyamira hii leo pia amesema ana imani upinzani hautashikana pamoja kufikia uchaguzi mkuu wa Agosti mwaka ujao. Chrispine Otieno na mengi zaidi.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo