
2,692 views
Watu sita wafariki katika ajali mbili za barabarani Nakuru na Makueni
Watu sita wameaga dunia kwenye ajali mbili tofauti katika kaunti za Nakuru na Makueni. Watu wanne walifariki baada ya trela mbili kugongana ana kwa ana katika eneo la Kiunduani Makueni, kwenye barabara ya Mombasa - Nairobi. Ajali hiyo ilisababisha moto mkubwa ulioteketeza magari yote mawili. Wanne walioaga ni madereva wawili, mwanamke na mtoto wake ambao walikuwa wameabiri gari moja. Na katika eneo la Soysambu, Gilgil, kaunti ya Nakuru watu wawili wameaga dunia baada ya gari la kibinafsi walimokuwa kugongana na trela lililokuwa likielekea upande wa Nakuru.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo