
608 views
Familia za waathiriwa wa Shakahola zataka polisi na machifu washtakiwe
Baadhi ya jamaa za waathiriwa wa mauaji ya Shakahola sasa wanataka maafisa wa polisi na hata machifu waliohudumu eneo hilo kushtakiwa na kuchukuliwa hatua. Jamaa hawa wakisema kuwa kifungo cha kiongozi wa dini potofu Shakahola Paul Mackenzie ni ya kuridhisha, bado kuna wale wanaostahiki kubeba msalaba zaidi kwa kutelekeza kazi zao mauaji hayo yalipokuwa yakiendelea. Haya yanajiri huku Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen akiahidi kupambana na makundi ya dini potofu, kama Ben Kirui anavyoripoti.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo