
405 views
Gor Mahia, Nairobi United watoka sare huku Bandari ikiishinda Tusker FC
Mabingwa watetezi Gor Mahia wametoka sare ya bao 1-1 na timu ya Nairobi United kwenye mechi ya kusisimua ya Ligi Kuu huko Mwea. Kakamega Homeboyz na Police FC pia wametoka sare ya bao 2-2, sawa na Ulinzi Stars dhidi ya Murang’a Seal. Bandari hatimaye wamepata ushindi baada ya kuipiku Tusker FC kwa bao 1-0.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo