
1,232 views
Ruto aendelea kuikosoa upinzani, amtuhumu Gachagua kushindwa kazi serikalini
Rais william ruto ameendelea kuukashifu muungano wa upinzani akisema hauna sera wala mipango ya miradi ya maendeleo ila kujitakia makuu kwa kugawana vyeo. akihutubia wakazi wa Nyangori huko Kitutu Masaba kaunti ya Nyamira, rais ruto amemkashifu kinara wa DCP Rigathi gachagua akidai kuwa alifukuzwa serikali kwa sababu ya kushindwa na kazi na kukosana na watu hulka ambayo anaiendeleza miongoni mwa viongozi wa upinzani.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo