
32 views
Kindiki ahimiza amani na kuwataka wanasiasa kuepuka siasa za chuki na ukabila
Naibu Rais Kithure Kindiki amewataka viongozi wa kisiasa nchini kuepuka siasa za chuki, matusi na ukabila, akionya kuwa mienendo hiyo inaweza kuchochea vurugu kuelekea uchaguzi mkuu ujao. Akizungumza Mkapuni, eneo bunge la Rabai, Kaunti ya Kilifi, Kindiki amesisitiza umuhimu wa wanasiasa kuzingatia sera na mipango ya maendeleo badala ya uchochezi. Alitoa matamshi hayo wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maendeleo ya serikali katika Kaunti ya Kilifi.
- KUPPET vows to fight for better teachers' pay, promotions and working conditions
- Mombasa county to equip 250 vocational training graduates with tools to start businesses
- Western Kenya clergy demand security guarantees ahead of 2027 elections, declare support for Ruto's
- Government scraps repeated SHA approvals for cancer treatment, easing access for 54,465 patients
- PS ololtuaa commends multi agency team for successful completion of 2026 KCSE exams
- Shipping agents urge government to expand and modernise Mombasa and Lamu ports
- IG kanja warns politicians against using criminal gangs to fuel violence
- Duale hails growth of Garissa university as student population rises to 7,800