
214 views
Bunge la Machakos kukamilisha marekebisho ya bajeti ya shilingi bilioni 17.7
Mgogoro wa bajeti ya kaunti ya machakos ya mwaka wa 2026/2027 unaelekea kikomo baada ya bunge la kaunti hiyo kukubali kufanya marekebisho ili kupitisha bajeti hiyo kabla ya mwisho wa mwezi huu. akizungumza mbele ya kamati ya seneti kuhusu ugatuzi, spika wa bunge la machakos, Ann Kiusya, alikiri kwamba kulikuwa na kasoro kwenye mchakato wa kuandaa bajeti hiyo ya shilingi bilioni 17.7. Hata hivyo sasa wanachukua hatua za kutatua mgogoro huo.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo