
350 views
Wakazi wa Bonde la Ufa wataka mikakati bora kudhibiti magonjwa ya mifugo
Wakazi wa kaskazini mwa bonde la ufa wametoa wito wa kuhimarishwa kwa sera na mikakati ya kukabili maradhi ya mifugo ili kuboresha sekta hiyo. Haya yamejiri katika hafla ya ushirikishaji wa umma iliyoandaliwa jijini Eldoret kaunti ya Uasin Gishu na kuhuduriwa na wakazi pamoja na wadau kutoka kaunti sita za kaskazini mwa bonde la ufa kujadili jinsi ya kuboresha sera hizo ikiwemo tiba ya wanyama.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo