
311 views
Familia ya Ilula yaomba msaada kurejesha mwili wa jamaa aliyeuawa vitani Ukraine
Familia moja katika kijiji cha Ilula, eneo bunge la Ainabkoi, Kaunti ya Uasin Gishu, imeirai serikali kuwasaidia kurejesha mwili wa mpendwa wao aliyefariki katika vita vya Urusi na Ukraine. Familia hiyo inasema imetatizika kupata taarifa kuhusu kifo cha jamaa yao pamoja na juhudi za kusafirisha mwili wake nchini kwa mazishi. Bonface Barasa alizungumza na familia hiyo na kuandaa taarifa ifuatayo.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo