
661 views
ODM na UDA zaweka mikakati ya uchaguzi mkuu wa 2027 Nairobi
Vyama vya ODM na UDA leo vimefanya mkutano wa pamoja na wajumbe wa vyama hivyo kutoka Nairobi, kupanga mikakati ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Vyama hivyo viwili, ambavyo vimekuwa vikishirikiana kwa muda sasa, vimekuwa na changamoto ya kuwateua wagombea wa viti mbalimbali Nairobi, huku wagombea kutoka pande zote mbili wakitangaza azma ya kuwania viti. Emmanuel Too anaarifu zaidi.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo