
770 views
Wakili Abshir Abdi afichua maelezo ya kuachiliwa kwake baada ya siku 12
Wakili Abshir Abdi, ambaye alitoweka kwa siku kumi na mbili, alifika kortini hii leo na kutoa maelezo kuhusu kuachiliwa kwake. Kupitia mawakili wake, Abshir alisema kuwa watekaji nyara waliwaambia wachane mbuga walipoachiliwa katika eneo la Sololo, Kaunti ya Marsabit, akiibua maswali kuhusu nia ya kuwaachilia katika eneo ambalo linashuhudia vita vya kijamii. Laura Otieno anaarifu.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo