
305 views
Chama cha "The Equitable Party" yabadilishwa jina kuwa Linda Mwananchi Movement
Chama cha The Equitable Party kinachohusishwa na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kimebadilisha jina rasmi na kuwa chama cha Linda Mwananchi Movement, katika kongamano la wajumbe lililoandaliwa Nairobi. Chama hicho kilitangaza kwamba kimebadilisha pia rangi za chama hadi nyeupe na samawati za Linda Mwananchi, nembo ya chama na makao makuu. Wajumbe hao pia waliafikia mabadiliko ya katiba, mwongozo wa uteuzi na kanuni za uchaguzi wa chama hicho, kando na kuruhusu mazungumzo ya kushirikiana na vyama vingine vya kisiasa kuunda serikali. Wanahabari hawakuruhusiwa kwenye mkutano huo ulioandaliwa katika eneo la Garden Estate, Nairobi.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo