
214 views
Familia sita zaomboleza vifo vya wapendwa wao baada ya jumba kuporomoka Syokimau
Tunaanza taarifa za Nipashe Wikendi kwa tanzia ambapo familia sita zinaomboleza baada ya jamaa zao kufariki kwenye mkasa wa kuporomoka kwa sehemu ya jumba lililokuwa linajengwa huko Syokimau, Kaunti ya Machakos. Sehemu ya nyumba hiyo ilianguka na kusababisha maafa mapema asubuhi. Watu watano walinusurika kwenye tukio hilo ambalo limeibua upya masuala kuhusu usalama wa majengo. Brenda Wanga na kina cha taarifa hiyo.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo