
29 views
WAKULIMA WATAKIWA KUKUMBatia UKULIMA WA KISASA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIA NCHI
Wakulima katika eneo la Pwani wametakiwa kukumbatia mbinu za kisasa za kilimo, matumizi ya pembejeo bora na teknolojia ili kuongeza uzalishaji wa chakula kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi. Wadau wa kilimo waliozungumza wakati wa maonyesho ya kilimo biashara katika Chuo Kikuu cha Pwani, Kilifi, wamehimiza wakulima kupanda mimea inayostahimili mvua chache. Maonyesho hayo yaliwakutanisha zaidi ya wakulima 2,000 kutoka kaunti mbalimbali za Pwani, huku wakulima wakitaka serikali kuongeza mafunzo na kuwawezesha wakulima wadogo.
- KUPPET vows to fight for better teachers' pay, promotions and working conditions
- Mombasa county to equip 250 vocational training graduates with tools to start businesses
- Western Kenya clergy demand security guarantees ahead of 2027 elections, declare support for Ruto's
- Government scraps repeated SHA approvals for cancer treatment, easing access for 54,465 patients
- PS ololtuaa commends multi agency team for successful completion of 2026 KCSE exams
- Shipping agents urge government to expand and modernise Mombasa and Lamu ports
- IG kanja warns politicians against using criminal gangs to fuel violence
- Duale hails growth of Garissa university as student population rises to 7,800