
302 views
Viongozi wa mrengo wa ‘tutam’ watetea utendakazi wa rais
Viongozi wa Kenya Kwanza na ODM wameendelea kutetea utendakazi wa Rais William Ruto na kukashifu upinzani kwa madai ya kuendeleza siasa potovu na kugawanya taifa. Akizungumza katika hafla ya mazishi huko homa bay, spika wa bunge la kitaifa moses wetangula ameshinikiza umoja wa viongozi wanaounga mkono azma ya rais william ruto kupata awamu ya pili. Viongozi wengine walizungumza katika kaunti za busia na Mombasa.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo