
196 views
Ruto: Ushindani wa mwaka 2027 unapaswa kuzingatia sera na mawazo
Rais William Ruto kwa mara nyingine amewakosoa baadhi ya viongozi wanaochochea siasa za vurugu, akiwataka kuacha tabia hiyo na kutafuta kura za Wakenya kwa njia ya amani. Akizungumza baada ya kuhudhuria ibada ya Jumapili katika kanisa katoliki la St. Peter's, mjini Narok, rais alisema kuwa ushindani wa kisiasa wa mwaka 2027 unapaswa kuzingatia sera na mawazo, badala ya kuangalia ni nani mwenye uwezo mkubwa wa kutumia vurugu kuwanyamazisha wapinzani wake. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
- 2 petitioners seek to halt procurement of General Election technology
- Nyoro says live transmission of election results in 2027 is non-negotiable
- CoG questions MoH directive to remove M-Pesa Paybill numbers from county health facilities
- MoH, health stakeholders intensify Ovarian Cancer awareness efforts
- EACC calls for stronger stricter candidate vetting ahead of 2027 polls
- Government says oil exploitation will begin in December
- Two people killed in a gas cylinder explosion in Mombasa
- President Ruto launches Sh503 million Kimilili-Kapsokwony road in Bungoma