
1,211 views
Ruto ajibu madai ya ufisadi, alaumu tawala zilizotangulia
Rais William Ruto amepuuzilia mbali madai ya upinzani kwamba ufisadi umeongezeka katika utawala wake, akisema ripoti ya punde ya Benki ya Dunia imewalimbikizia lawama watangulizi wake. Rais Ruto akisema kuwa mizizi ya ufisadi ilikita kwenye utawala uliopita, akitaja mradi wa reli ya SGR kama mojawapo ya visa vikuu vya ufisadi. Rais wakati huo huo alishutumu vurugu kwenye mikutano ya siasa, kama Willy Lusige anavyotuarifu.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo