
296 views
Zaidi ya familia 300 zaathiriwa na mafuriko Tana River
Zaidi ya familia 300 zimeathirika na mafuriko yanayoshuhudiwa katika kaunti ya Tana River. Familia hizo kutoka vijiji vitatu vya kaunti hiyo pia zinakadiria hasara ya kusombwa kwa mifugo wao, huku shughuli za biashara na uchukuzi pia zikitatizika. Na anayearifu sasa Kamau Mwangi, wakazi walioathirika wameitaka serikali kuwafikishia msaada haraka iwezekanavyo, kabla ya njaa inayowakondolea macho kuanza kusababisha maafa.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo