
433 views
Maswali yaibuka kuhusu uchunguzi wa majumba yanayoporomoka Nairobi
Jioni ya leo maswali yameibuka kuhusu uchunguzi wa majumba yanayoendelea kuporomoka jijini Nairobi, ambapo watu 18 wameaga dunia chini ya mwezi mmoja. Vifo hivi vikitokana na kuporomoka kwa majumba matatu jijini. Kuanzia jumba la Eastleigh na kisa cha hapo jana eneo la Riverside, hakuna mhusika aliyekamatwa. Haya yanajiri huku serikali ya kaunti ya Nairobi ikisema kuwa wachunguzi wanaendelea na uchunguzi huku ikijitenga na madai ya utepetevu katika kuidhinisha ujenzi. Ben Kirui anatufungulia jamvi la Nipashe jioni ya leo.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo