
254 views
Viongozi wanaounga mkono serikali wapuuza utafiti wa umaarufu wa Sifuna
Wanasiasa wanaounga mkono serikali wamepuuzilia mbali ripoti ya utafiti iliyotolewa na TIFA wiki jana iliyoashiria umaarufu wa Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna umeimarika. Wakizungumza kaunti za Nakuru, Uasin Gishu na Nandi, wanasiasa hawa wamemtaja Seneta Sifuna, kama kiongozi asiyekuwa na uzoefu, na kuwataka Wakenya kutopotoshwa na utafiti huo. Viongozi hao pia wameendeleza mashambulizi dhidi ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta, huku wakitetea utendakazi wa Rais William Ruto na kuwataka Wakenya kumridia tena kwa awamu nyingine kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo