
337 views
Viboko sita wameripotiwa kufa kwenye Ziwa Naivasha
Zaidi ya viboko sita wameripotiwa kufa katika hali ya kutatanisha kwenye ziwa Naivasha katika kipindi cha majuma mawili yaliyopita, hali inayoibua wasiwasi kuhusiana na uwezekano wa uchafuzi wa maji na hatari za kiafya kwa wanyamapori wengine na jamii zinazotegemea ziwa hilo. Mizoga ya wanyama hao ilionekana katika eneo la Kibokoni na kingoni za mto Malewa huku miito ikitolewa ya uchunguzi wa dharura kuhusianana chanzo cha vifo hivyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
- LIVE: Good Morning Kenya: 24th November 2026: www.kbc.co.ke
- 2 petitioners seek to halt procurement of General Election technology
- Nyoro says live transmission of election results in 2027 is non-negotiable
- CoG questions MoH directive to remove M-Pesa Paybill numbers from county health facilities
- MoH, health stakeholders intensify Ovarian Cancer awareness efforts
- EACC calls for stronger stricter candidate vetting ahead of 2027 polls
- Government says oil exploitation will begin in December
- Two people killed in a gas cylinder explosion in Mombasa