
2,250 views
Mbunge wa Narok West Gabriel Tong’oyo amlaumu gavana Ntutu kwa vurugu za tamasha la MAA
Mbunge wa Narok West Gabriel Tong’oyo amekashifu vurugu zilizoshuhudiwa jumamosi katika tamasha ya utamaduni wa jamii ya MAA kule Narok, akimlaumu gavana wa kaunti hiyo Patrick Ole Ntutu kwa kupanga vurugu hizo. Akizungumza alipoandaa mkutano wa hadhara katikati mwa mji wa narok jumapili, tong’oyo alimpigia debe rais William Ruto akiwarai wakazi wa Narok kumpigia kura ili apate muhula wa pili serikalini mwaka ujao.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo