
236 views
Rais Ruto ataka uwekezaji zaidi katika kilimo kukabili njaa Afrika
Rais William Ruto amekiri kuwa Kenya bado hajafikia kiwango cha utoshelevu wa chakula, huku watu milioni 2.7 wakikabiliwa na njaa.Akizungumza katika mkutano wa tatu wa kimataifa kuhusu kupambana na njaa na utapiamlo duniani jijini Nairobi, Ruto ameionya Afrika kuwa inaweza kuwa na zaidi ya nusu ya watu wanaokumbwa na njaa duniani ifikapo mwaka 2030 ikiwa mataifa ya Afrika hayataongeza uwekezaji katika kilimo .
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo