
269 views
Viongozi wa DCP Embu wakemea ongezeko la vurugu za kisiasa kuelekea uchaguzi wa 2027
Viongozi wa chama cha DCP katika Kaunti ya Embu wamekemea ongezeko la visa vya vurugu za kisiasa, vitisho na kuvurugwa kwa mikutano ya kisiasa katika kaunti hiyo, wakionya wanasiasa dhidi ya kutumia ghasia kuwatisha wapinzani wao kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo