
771 views
Wanne wakamatwa kwa tuhuma za kumuuza mtoto wa miaka minne
Watu wanne wamekamatwa eneo la Matungulu kaunti ya Machakos kwa tuhuma za wizi wa mtoto wa miaka minne. Wanne hao wanadaiwa kushirikiana kumsafirisha mtoto huyo hadi jijini Nairobi baada ya mtoto huyo kuuzwa kwa shilingi laki moja unusu. Na kama anavyoarifu Laura Otieno, kisa hicho kimeiubua tombojoto miongoni mwa wazazi wakidai visa hivyo vimeongezeka mno eneo hilo.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo