
446 views
Bidhaa ghushi zenye thamani ya shilingi milioni 104 zateketezwa Mombasa.
Bidhaa ghushi zenye thamani ya shilingi milioni 104 zimeteketezwa huko Mombasa. Mamlaka ya kukabiliana na bidhaa ghushi nchini imesema kampeni hiyo ni kukabiliana na ongezeko la bidhaa ghushi hasa bidhaa za vileo, Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka ya kukabiliana na bidhaa ghushi nchini Robi King’a, amesema mamlaka hiyo inalenga kuekeza katika teknolojia ili kudhibiti bidhaa ghushi. Wametaka pia hamasisho Zaidi hasa katika mipaka ya kenya.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo