
221 views
Serikali kusambaza vyandarua milioni 10 kukabili malaria katika maeneo 18 hatarishi nchini
Wizara ya afya sasa imesema itaanza kusambaza vyandarua vya kukinga mbu katika maeneo 18 ambayo yamo hatarini ya msambao wa ugonjwa wa malaria hasa wakati huu mvua kubwa imeanza kushuhudiwa. Akizungumza Nairobi, katibu wa afya ya umma Mary Muthoni amesema vyandarua milioni kumi vitasambazwa huku akiwataka wakenya kuwa wangalifu kwa magonjwa ambayo yanaambatana na mvua .
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo