
399 views
Kenya yafikia asilimia 90 katika vita dhidi ya utakatishaji fedha haramu na ufadhili wa ugaidi
Kenya imepiga hatua kwenye mpango wake wa kukabiliana na udhaifu katika mifumo ya kupambana na utakatishaji fedha haramu, ufadhili wa magaidi na ufadhili wa kuenea kwa silaha za maangamizi. Kulingana na Katibu katika wizara ya usalama Dkt. Raymond Omollo , Kenya imeshughulikia kikamilifu hatua 19 kati ya 21 za mpango wa huo, ikiwakilisha zaidi ya asilimia 90 ya mahitaji chini ya mpango wake wa mageuzi. alikuwa akizungumza kwenye kongamano kuhusu masuala ya usalama na udhibiti wa ugaidi la kimataifa hapa jijini Nairobi.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo