
878 views
Mjukuu wa Dorita Macharia akanusha shtaka la mauaji, wanawe waachiliwa kwa dhamana
Mjukuu wa Dorita Macharia, Thandie Malaika, amekana shtaka la mauaji hayo. Aidha, wanawe Dorita, Regina Re na Alton Macharia, wameachiliwa kwa dhamana ya shilingi laki mbili pesa taslimu. Watatu hao hawakuhudhuria mazishi ya nyanya huyo, ambaye amezikwa nyumbani kwake Murang’a.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo