
2,992 views
Ruto awasuta wapinzani, asema uchaguzi wa 2027 utaamuliwa na sera
Rais William Ruto amewasuta viongozi wa upinzani ambao wanajipiga kifua kuhusu uungwaji mkono katika ngome zao, akisema hawana ruwaza ya maendeleo. Rais amesema uchaguzi ujao utaamuliwa na sera na wala siasa za ushawishi pekee. Rais pia amenadi kauli mbiu yake ya Usawa ni Sawa, ambayo anasema imewezesha maendeleo nchini. Melita Oletenges anarifu zaidi.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo