
440 views
Ruto aahidi hatua za kisheria dhidi ya waliohusika na mauaji ya waandamanaji
Rais William Ruto ameahidi hatua kali za kisheria dhidi ya waliohusika katika mauaji ya waandamanaji wakati wa maandamano ya Gen Z ya mwaka wa 2024 na 2025. Katika hotuba yake kwa taifa, Rais amesema kuwa safari ya kutafuta haki haitakomea kwenye zoezi la kuwafidia waathiriwa, bali mashtaka yatafunguliwa pindi uchunguzi utakapobaini waliohusika. Hadi kufikia sasa, ni uchunguzi wa mauaji ya Rex Masai tu uliofunguliwa kati ya mamia ya raia walioawa.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo