
1,018 views
Ruto ataja mafanikio ya miaka minne ya uongozi, asema gharama ya maisha imepungua
Rais William Ruto amesema ameimarisha uchumi na kupunguza gharama ya maisha katika kipindi cha miaka minne alichokuwa mamlakani. Akizungumza alipohutubia kikao cha pamoja cha Bunge, Rais alieleza mafanikio yake katika sekta za afya, kilimo, elimu na miundombinu, akisema hatua hizo zimesaidia kupunguza mzigo wa gharama ya maisha. Emmanuel Too anarifu zaidi.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo