
196 views
Isaaac Mwaura ataka watu wenye ulemavu kupewa nafasi za uongozi serikalini
Mkuu wa idara ya ujumuishaji na haki za walemavu Isaac Mwaura, ametoa wito wa kukomeshwa kwa matamshi ya kikabila katika uteuzi wa watu, akisisitiza kuwa watu wenye ulemavu wanastahili fursa sawa za kuhudumu katika nyadhifa za juu serikalini. Akizungumza wakati wa kikao na wanahabari hapa nairobi, Mwaura alitetea uteuzi wa afisa mkuu wa TSC Cheptumo Ayabei, akisema kuwa watu wenye ulemavu kwa miaka mingi wametengwa katika nyadhifa kuu za uongozi licha ya kuwa na sifa na uzoefu unaohitajika kuhudumu.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo