
193 views
Wakazi Busia wakumbwa na uhaba wa maziwa huku bei ikipanda hadi shilingi 100 kwa nusu lita
Wakazi wa kaunti ya Busia wanaendelea kukabiliwa na uhaba mkubwa wa maziwa na kupanda kwa bei ya bidhaa hiyo, pakiti ya mililita 500 ya maziwa katika maduka ya rejareja na yale ya jumla sasa ikiuzwa kati ya shilingi 80 na 100, huku maduka mengi yakikosa bidhaa hiyo kabisa.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo