
748 views
Waendeshaji bodaboda Mombasa waitaka serikali kuimarisha usalama dhidi ya magenge ya wahalifu
Wahudumu wa bodaboda kaunti ya mombasa wanaitaka serikali kushirikiana nao ili kudumisha usalama baada ya magenge ya wahalifu wanaovamia wakazi kuchipuka tena. Wanabodaboda hao wanafanya kikao kujadili masuala yanayowaathiri ikiwemo usalama, uwekezaji na ushirikiano na taasisi tofauti za uchukuzi.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo