
124 views
Askofu Anthony Muheria apiga marufuku wanasiasa kuhutubu na kuongoza harambee kanisani
Askofu mkuu wa kanisa katoliki dayosisi ya Nyeri Anthony Muheria ametishia kuwatimua makasisi watakaoruhusu wanasiasa kuhutubu kanisani katika dayosisi hiyo. Askofu muheria pia amepiga marufuku mialiko ya wanasiasa kuongoza haramnbee kanisani. alikuwa akizungumza kwenye hafla ya kuwasimika makatekista 103 hujko nyeri.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo