
321 views
Vijana wa Pwani wahimizwa kujiunga na vyuo vya ufundi ili kujipatia ajira
Vijana kutoka Pwani wametakiwa kukumbatia elimu ya vyuo vya ufundi ili ili kujipatia ajira badala ya kujihusisha na makundi ya kihuni. Wakuu katika taasisi ya teknolojia ya uhandisi nchini wanasema ukosefu wa kazi ndio changamoto kuu inayowakumba vijana, na hivyo ujuzi wa ufundi utawanasua kutoka minyororo hiyo.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo