
1,646 views
Mahakama yawapata Mbadi na Oduor na hatia ya kudharau mahakama
Mvutano unataraajiwa kati ya Idara ya Mahakama na Serikali Kuu kuhusu uwazi katika usimamizi wa deni la taifa. Jaji wa Mahakama Kuu Patricia Nyauncho amewapata Waziri wa Hazina ya Kitaifa John Mbadi na Mwanasheria Mkuu Dorcas Oduor na hatia ya kudharau mahakama baada ya kudinda kuweka wazi mikataba ya madeni na taarifa kuhusu jinsi mikopo ya serikali ilivyotumika.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo