
863 views
Familia ya Dolnhom yaomba msaada kumtafuta mwanao aliyetoweka mpakani mwa Belarus na Latvia
Familia moja mtaani Dolnhom inahangaika baada ya mwana wao Abdi Ibrahim Adan kutoweka katika msitu mmoja mpakani mwa mataifa ya Belarus na Latvia. Abdi amekuwa akitafutwa kwa siku 17 tangu aliporipotiwa kurejeshwa msituni na maafisa wa mpakani akiwa pamoja na wahamiaji wengine waliokuwa wakijaribu kuingia Latvia.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo